Lamentations 3:38-41


38 aJe, si ni kwenye kinywa cha Aliye Juu Sana
ndiko yatokako maafa na mambo mema?

39 bMwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika
wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?


40 cTuzichunguze njia zetu na kuzijaribu,
na tumrudie Bwana Mwenyezi Mungu.

41 dTuinue mioyo yetu pamoja na mikono yetu
kwa Mungu mbinguni, na tuseme:
Copyright information for SwhKC